Uwekezaji

Uwezekaji mbalimbali katika chama

Katika Uwekezaji Malengo saccos, hutumia Akiba na Amana za chama katika

  1. Kuweka Akiba na Amana Benki
  2. Kununua Dhamana za serikakli au Sekta binafsi
  3. Kukopesha wanachama walikidhi masharti ya kukopeshwa mkopo husika
  4. Kununua Hisa kwenye Taasisi na Makampuni mbalimbali
  5. Kujenga Nyumba
  6. Kununua Mali zisizohamishika