• darkblurbg
    Slider
    Weka malengo na
    Malengo Saccos leo
    Usichelewe

    Jiunge na malengo saccos uweze kufadika na mambo mbalimbali ,
    Kiuchumi, kijamii na kiafya.
    Mikopo ya aina mbali mbali, uwekezaji
    Elimu ya biashara, uwekezaji na ukuzaji wa mitaji

  • dua
    Poeple Slider
    Malengo yetu, mafanikio yetu!
    Malengo saccos LTD

    Jiunge na malengo saccos leo uweze kufanikishwa malengo yako.

  • dua
    Mkopo wa dharura
    Mkopo wa kawaida
    Mkopo wa maendeleo
    Mkopo wa elimu
    Mkopo wa biashara
    Poeple Slider

Karibu Malengo saccoss


MADHUMUNI YA CHAMA

Madhumuni makuu ya MALENGO SACCOS LTD ni kuinua, kustawisha na kuboresha hali ya maisha ya wanachama ili waweze kukidhi mahitaji mbalimbali ya kijamii na kiuchumi kwa kufuata Masharti ya Chama, misingi na Sheria ya Vyama vya Ushirika

Neno Kutoka kwa Mwenyekiti wa chama

Godwin NsemwaMwenyekiti Wa chama

Neno toka kwa mwenyekiti

Ni ukweli ulio wazi kwamba, maisha ya mtanzania kujikwamua kiuchumi bado ni finyu. Ili watanzania wajikwamue sharti wajiunge kwenye umoja wao wa kuweka na kukopeshana na kuwekeza katika mashirika mabalimbali. Malengo saccos ni saccos bora yenye malengo makubwa katika kuleta mafanikio kwa wanachama na jamii nzima kwa ujumla. Ni nafasi pekee ya sisi kuungana katika safari yetu ya mafanikio, malengo yetu mafanikio yetu.

Wanachama wetu wanasema nini kuhusu chama?